-
Kumbukumbu la Torati 28:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+
-
-
Kumbukumbu la Torati 28:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Anga lililo juu ya vichwa vyenu litakuwa shaba, na dunia iliyo chini yenu itakuwa chuma.+
-