-
Kutoka 15:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Kisha nabii Miriamu, dada ya Haruni, akachukua tari, na wanawake wote wakamfuata wakiwa na matari yao wakicheza dansi.
-
-
Waamuzi 11:34Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
34 Mwishowe Yeftha akafika nyumbani kwake Mispa,+ na tazama! binti yake akatoka ili kumpokea, huku akipiga tari na kucheza dansi! Naye alikuwa ndiye mtoto pekee. Yeftha hakuwa na mwana wala binti mwingine ila yeye.
-