-
Kumbukumbu la Torati 7:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “Kwa hakika Yehova Mungu wenu atayafukuza mataifa haya kutoka mbele yenu kidogo kidogo.+ Hamtaruhusiwa kuwaangamiza upesi, ili wanyama wa mwituni wasiongezeke na kuwashambulia ninyi.
-