-
Isaya 26:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Ee Yehova, mkono wako umeinuliwa, lakini hawauoni.+
Wataona bidii yako kwa ajili ya watu wako na kuaibishwa.
Naam, moto uliokusudiwa maadui wako utawateketeza.
-
-
Hosea 14:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ni nani aliye na hekima? Na aelewe mambo haya.
Ni nani aliye na busara? Na ayajue mambo hayo.
Kwa maana njia za Yehova zimenyooka,+
Na waadilifu watatembea katika njia hizo;
Lakini watenda dhambi watajikwaa humo.
-