-
Isaya 50:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Niliwapa mgongo wangu wale waliokuwa wakinipiga
Na mashavu yangu wale waliozing’oa ndevu zangu.
Sikuuficha uso wangu kutoka kwa mambo yenye kufedhehesha na kutoka kwa mate.+
-
-
Mathayo 27:29Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
29 kisha wakasokota taji la miiba na kumvisha kichwani na kutia utete kwenye mkono wake wa kuume. Wakampigia magoti, wakamdhihaki wakisema: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!”
-