Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 23:31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 31 “Nitaweka mpaka wenu kuanzia Bahari Nyekundu mpaka bahari ya Wafilisti na kuanzia nyikani mpaka kwenye Mto Efrati;+ kwa maana nitawatia wakaaji wa nchi hiyo mikononi mwenu, nanyi mtawafukuza kutoka mbele yenu.+

  • 1 Wafalme 4:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Sulemani alitawala falme zote kuanzia Mto Efrati+ mpaka nchi ya Wafilisti hadi kwenye mpaka wa Misri. Walimletea Sulemani ushuru na kumtumikia siku zote za maisha yake.+

  • Zaburi 2:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Niombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako

      Na miisho ya dunia kuwa miliki yako.+

  • Zaburi 22:27, 28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 27 Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia Yehova.

      Familia zote za mataifa zitainama chini mbele zako.+

      28 Kwa maana ufalme ni wa Yehova;+

      Anayatawala mataifa.

  • Danieli 2:35
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Zekaria 9:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Nitaondoa gari la vita Efraimu

      Na farasi kutoka Yerusalemu.

      Upinde wa vita utachukuliwa.

      Naye atatangaza amani kwa mataifa;+

      Utawala wake utaenea kutoka bahari mpaka bahari

      Na kutoka Mto Efrati mpaka kwenye miisho ya dunia.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki