-
1 Wafalme 21:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, si wewe unayetawala ukiwa mfalme wa Israeli? Inuka, kula chakula, moyo wako na uchangamke. Nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+
-