-
Zaburi 13:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Nitahangaika kwa wasiwasi mpaka lini,
Nikiwa na huzuni moyoni mwangu kila siku?
Adui yangu atanishinda mpaka lini?+
-
-
Zaburi 79:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Tumekuwa kitu cha kushutumiwa na majirani wetu;+
Wale wanaotuzunguka wanatudhihaki na kutufanyia mzaha.
-