-
Zaburi 44:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Unatufanya kuwa shutuma kwa majirani wetu,
Kitu cha kudhihakiwa na kufanyiwa mzaha na wale wote wanaotuzunguka.
-
-
Zaburi 79:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Tumekuwa kitu cha kushutumiwa na majirani wetu;+
Wale wanaotuzunguka wanatudhihaki na kutufanyia mzaha.
-