-
2 Wafalme 24:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Katika siku za utawala wa Yehoyakimu, Mfalme Nebukadneza+ wa Babiloni alikuja kumshambulia, Yehoyakimu akawa mtumishi wake kwa miaka mitatu. Hata hivyo, alimgeuka na kumwasi.
-