Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 32:13, 14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Alimpitisha juu ya sehemu za juu za dunia,+

      Hivi kwamba akala mazao ya shambani.+

      Alimlisha asali kutoka katika jabali

      Na mafuta kutoka katika mwamba mgumu,

      14 Siagi ya mifugo na maziwa ya kundi,

      Pamoja na kondoo bora,*

      Na kondoo dume wa Bashani, na mbuzi dume,

      Pamoja na ngano bora;*+

      Nawe ulikunywa divai kutoka katika damu* ya zabibu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki