Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 32:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 32 Basi, watu wakaona kwamba Musa amekawia sana kushuka kutoka mlimani.+ Kwa hiyo wakakusanyika kumzunguka Haruni na kumwambia: “Haya, tutengenezee mungu atakayetuongoza+ kwa sababu hatujui lililompata huyu Musa, mtu aliyetuongoza kutoka katika nchi ya Misri.”

  • Kumbukumbu la Torati 32:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Yeshuruni* aliponenepa, alipiga teke kwa uasi.

      Umenenepa, una mafuta mengi mwilini, tumbo lako limenenepa.+

      Basi akamwacha Mungu, aliyemuumba,+

      Na kumdharau Mwamba wa wokovu wake.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki