-
Kumbukumbu la Torati 2:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Msizozane wala kupigana na Wamoabu, kwa sababu sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao ili mwimiliki kwa sababu nimewapa wazao wa Loti+ nchi ya Ari ili waimiliki.
-