-
Isaya 60:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Wana wa wale waliokukandamiza watakuja na kuinama chini mbele yako;
Wote wanaokudharau watainama chini miguuni pako,
Nao watalazimika kukuita jiji la Yehova,
Sayuni la Mtakatifu wa Israeli.+
-