-
1 Wafalme 8:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 ‘Kuanzia siku niliyowatoa watu wangu Waisraeli nchini Misri, sijachagua jiji katika makabila yote ya Israeli na kujenga humo nyumba ili jina langu likae humo,+ lakini nimemchagua Daudi awatawale watu wangu Waisraeli.’
-