Yoshua 19:22, 23 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 22 Na mpaka huo ulifika Tabori+ na Shahasuma na Beth-shemeshi, na kufika kwenye Mto Yordani—majiji 16 na vijiji vyake. 23 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Isakari kulingana na koo zao,+ majiji na vijiji vyake.
22 Na mpaka huo ulifika Tabori+ na Shahasuma na Beth-shemeshi, na kufika kwenye Mto Yordani—majiji 16 na vijiji vyake. 23 Huo ndio uliokuwa urithi wa kabila la Isakari kulingana na koo zao,+ majiji na vijiji vyake.