-
2 Samweli 7:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Upendo wangu mshikamanifu hautaondolewa kwake kama nilivyouondoa kwa Sauli,+ niliyemwondoa kutoka mbele yako.
-
-
1 Wafalme 11:36Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
36 Nitampa mwana wake kabila moja, ili sikuzote Daudi mtumishi wangu awe na taa mbele zangu Yerusalemu,+ jiji ambalo nimejichagulia liwe mahali pa kuweka jina langu.
-