-
Zaburi 64:2, 3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Nikinge kutokana na njama za siri za waovu,+
Kutoka kwa umati wa watenda maovu.
3 Wanaunoa ulimi wao kama upanga;
Wanayalenga maneno yao ya ukatili kama mishale,
-