-
Maombolezo 1:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kutoka juu sana ameushusha moto mifupani mwangu,+ naye anautiisha kila mfupa.
Ametandaza wavu wa kunasa miguu yangu; amenilazimisha nirudi nyuma.
Amenifanya kuwa mwanamke aliye ukiwa.
Mchana kutwa mimi ni mgonjwa.
-