-
Zaburi 8:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Ninapoziona mbingu zako, kazi za vidole vyako,
Mwezi na nyota ambazo umetayarisha,+
-
Isaya 48:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Ninapoziita, zinasimama pamoja.
-
-
Waebrania 1:10-12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Na: “Hapo mwanzoni, Ee Bwana, uliiweka misingi ya dunia, na mbingu ni kazi za mikono yako. 11 Hizo zitaangamia, lakini wewe utadumu; na zote zitachakaa kama vazi, 12 nawe utazikunja kama kanzu, kama vazi, nazo zitabadilishwa. Lakini wewe ni yuleyule, na miaka yako haitafikia mwisho kamwe.”+
-
-
-