-
Mwanzo 26:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Mara moja Abimeleki akamwita Isaka na kumwambia: “Kumbe ni mke wako! Mbona ulisema, ‘Huyu ni dada yangu’?” Isaka akamwambia: “Nilisema hivyo kwa sababu niliogopa nitauawa kwa sababu yake.”+
-
-
Mwanzo 26:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Ndipo Abimeleki akawaamuru watu wote akisema: “Yeyote atakayemgusa mtu huyu na mke wake hakika atauawa!”
-