-
Mwanzo 41:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Lakini baada ya miaka hiyo, hakika kutakuwa na miaka saba ya njaa kali, nanyi hakika mtasahau chakula kingi sana kilichokuwa katika nchi ya Misri, na njaa hiyo kali itaiharibu nchi.+
-
-
Mwanzo 42:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kwa hiyo wana wa Israeli wakafika Misri pamoja na watu wengine walioenda kununua nafaka, kwa sababu njaa hiyo kali ilikuwa imeenea mpaka katika nchi ya Kanaani.+
-
-
Matendo 7:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Lakini kukawa na njaa kali katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ndiyo, dhiki kuu, na mababu zetu hawakuweza kupata chakula chochote.+
-