Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 11:31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 31 Kisha upepo kutoka kwa Yehova ukavuma ghafla na kuanza kuleta kware kutoka baharini na kuwaangusha kotekote kambini,+ kwenye eneo la umbali wa siku moja hivi kila upande kuzunguka kambi, wakafikia kimo cha mikono miwili* hivi kutoka ardhini.

  • Hesabu 11:33
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 33 Lakini nyama ilipokuwa ingali katikati ya meno yao, kabla hawajaitafuna, hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya watu, na Yehova akaanza kuwapiga watu kwa maangamizi makubwa sana.+

  • Zaburi 78:29-31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Nao wakala na kujilazimisha kula zaidi;

      Aliwapa walichotamani.+

      30 Lakini kabla hawajatosheleza kikamili tamaa yao,

      Chakula kilipokuwa kingali kinywani mwao,

      31 Ghadhabu ya Mungu ikawaka dhidi yao.+

      Akawaua wanaume wenye nguvu zaidi;+

      Aliwaangamiza wanaume vijana wa Israeli.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki