Kutoka 23:32, 33 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 32 Hampaswi kufanya agano pamoja nao wala na miungu yao.+ 33 Hawapaswi kuishi katika nchi yenu, wasije wakasababisha mnitendee dhambi. Mkiiabudu miungu yao, kwa hakika itakuwa mtego kwenu.”+
32 Hampaswi kufanya agano pamoja nao wala na miungu yao.+ 33 Hawapaswi kuishi katika nchi yenu, wasije wakasababisha mnitendee dhambi. Mkiiabudu miungu yao, kwa hakika itakuwa mtego kwenu.”+