Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 10:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Lakini Yehova akawaambia Waisraeli, “Je, sikuwaokoa kutoka Misri+ na kutoka mikononi mwa Waamori,+ Waamoni, Wafilisti,+ 12 Wasidoni, Waamaleki, na Wamidiani walipokuwa wakiwakandamiza? Mliponililia, niliwaokoa kutoka mikononi mwao.

  • 1 Samweli 12:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Ndipo Yehova akamtuma Yerubaali+ na Bedani na Yeftha+ na Samweli,+ naye akawaokoa ninyi kutoka mikononi mwa maadui waliowazunguka, ili mwishi kwa usalama.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki