Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 15:2, 3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Absalomu alikuwa akiamka mapema na kusimama kando ya barabara iliyoelekea kwenye lango la jiji.+ Absalomu alikuwa akimwita na kumuuliza hivi mtu yeyote aliyekuwa na kesi ambayo ilipaswa kuamuliwa na mfalme:+ “Unatoka jiji gani?” naye alijibu: “Mimi mtumishi wako ninatoka katika mojawapo ya makabila ya Waisraeli.” 3 Kisha Absalomu alimwambia: “Madai yako ni ya kweli na ya haki, lakini hakuna yeyote kutoka kwa mfalme wa kusikiliza kesi yako.”

  • Zaburi 31:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Midomo inayosema uwongo na iwe bubu,+

      Midomo inayoongea kwa kiburi dhidi ya mwadilifu, kwa majivuno na dharau.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki