Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 15:7, 8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 “Ikiwa mmoja wa ndugu zenu atakuwa maskini miongoni mwenu katika mojawapo ya majiji yaliyo katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, msiifanye mioyo yenu iwe migumu au kumfumbia mkono ndugu yenu maskini.+ 8 Kwa maana mnapaswa kumfumbulia mkono wenu kwa ukarimu+ na kufanya yote mwezayo kumkopesha* chochote anachohitaji au alichopungukiwa.

  • Zaburi 41:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 41 Mwenye furaha ni mtu yeyote anayemjali mtu wa hali ya chini;+

      Yehova atamwokoa siku ya msiba.

  • Methali 19:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Luka 6:34, 35
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 34 Pia, mkiwakopesha* wale tu ambao mnatumaini watawalipa, mnapata faida gani?+ Hata watenda dhambi huwakopesha watenda dhambi ili warudishiwe kiasi kilekile. 35 Badala yake, endeleeni kuwapenda adui zenu, kutenda mema, na kukopesha bila kutumaini kurudishiwa;+ nanyi mtapata thawabu kubwa, na mtakuwa wana wa Aliye Juu Zaidi, kwa sababu yeye huwaonyesha fadhili hata watu wasio na shukrani na waovu.+

  • Matendo 20:35
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Waebrania 13:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki