Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 66:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Ulimruhusu mwanadamu anayeweza kufa apande juu yetu;*

      Tulipita motoni na katika maji;

      Kisha ukatuleta mahali penye kitulizo.

  • Isaya 51:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Nitakitia mkononi mwa wale wanaokutesa,+

      Wale waliokuambia, ‘Inama chini ili tutembee juu yako!’

      Basi ukaufanya mgongo wako kama ardhi,

      Kama barabara yao ya kutembea juu yake.”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki