-
Zaburi 38:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Kwa maana dhambi zangu zimetanda juu ya kichwa changu;+
Kama mzigo mzito, ni nzito sana siwezi kuzibeba.
-
-
Danieli 9:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Tega sikio lako, Ee Mungu wangu, usikie! Fungua macho yako uone hali yetu ya ukiwa na jiji ambalo limeitwa kwa jina lako; kwa maana hatukuombi kwa sababu ya matendo yetu ya uadilifu bali kwa sababu ya rehema yako kuu.+
-