-
1 Samweli 18:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Watumishi wa Sauli walipomwambia Daudi mambo hayo, Daudi akasema: “Je, mnafikiri ni jambo rahisi kwa mtu maskini na asiyeheshimiwa sana kama mimi kufanya mapatano ya ndoa na mfalme?”+
-