-
1 Samweli 7:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Basi watu wa Kiriath-yearimu wakaja na kulichukua Sanduku la Yehova na kulipandisha katika nyumba ya Abinadabu+ juu ya kilima, nao wakamtakasa Eleazari mwanawe ili alilinde Sanduku la Yehova.
-