-
Nehemia 2:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Kisha nikamwambia mfalme: “Mfalme na aishi muda mrefu! Kwa nini nisiwe na huzuni wakati lile jiji, mahali ambapo mababu zangu wamezikwa ni magofu, na malango yake yameteketezwa kwa moto?”+
-
-
Zaburi 84:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Moyo wangu na mwili wangu humshangilia kwa sauti Mungu aliye hai.
-