-
Yona 1:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Lakini Yona akainuka na kwenda Tarshishi ili amkimbie Yehova; akashuka kwenda Yopa, akakuta meli inayokwenda Tarshishi. Basi akalipa nauli na kupanda meli ili asafiri nao kwenda Tarshishi, amkimbie Yehova.
-