-
Zaburi 64:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Nikinge kutokana na njama za siri za waovu,+
Kutoka kwa umati wa watenda maovu.
-
-
Zaburi 64:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Wanatafuta njia mpya za kutenda uovu;
Wanatunga kwa siri mbinu zao za ujanja;+
Fikira zilizo ndani ya moyo wa kila mmoja wao hazieleweki kamwe.
-