-
Zaburi 36:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Usiruhusu mguu wa mwenye kiburi unikanyage
Wala mkono wa mwovu unifukuze.
-
-
Zaburi 71:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Ee Mungu wangu, niokoe kutoka mikononi mwa mwovu,+
Kutoka katika makucha ya mkandamizaji asiyetenda haki.
-