-
Zaburi 7:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Matatizo anayosababisha yatarudi juu ya kichwa chake mwenyewe;+
Ukatili wake utaanguka juu ya utosi wa kichwa chake.
-
-
Methali 12:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Mwovu hunaswa na mazungumzo yake ya dhambi,+
Lakini mwadilifu huokoka kutoka katika taabu.
-