Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 32:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Kwa maana hasira yangu imewasha moto+

      Ambao utateketeza mpaka kwenye kina cha Kaburi,*+

      Nao utateketeza dunia na mazao yake

      Na kuchoma moto misingi ya milima.

  • Zaburi 110:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  5 Yehova atakuwa kwenye mkono wako wa kulia;+

      Atawaponda wafalme katika siku ya hasira yake.+

  • Malaki 4:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 “Kwa maana tazama! siku inakuja inayowaka kama tanuru,+ wakati ambapo wote wenye kimbelembele na wote wanaotenda uovu watakuwa kama majani makavu. Siku hiyo inayokuja kwa hakika itawateketeza,” asema Yehova wa majeshi, “nayo haitawaachia mzizi wala tawi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki