Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 16:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Kwa maana hutaniacha* Kaburini.*+

      Hutamruhusu mshikamanifu wako aone shimo.*+

  • Zaburi 28:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Ninaendelea kukulilia wewe, Ee Yehova Mwamba wangu;+

      Usiwe kama kiziwi kwangu.

      Ukininyamazia,

      Nitakuwa kama wale wanaoshuka shimoni.*+

  • Isaya 38:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Yona 2:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Nilizama sehemu za chini za milima.

      Milango ya dunia ilikuwa ikija kunifungia milele.

      Lakini uliutoa uhai wangu shimoni, Ee Yehova Mungu wangu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki