-
Mathayo 13:49, 50Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
49 Hivyo ndivyo itakavyokuwa katika umalizio wa mfumo wa mambo.* Malaika wataenda kuwatenganisha waovu kutoka kwa waadilifu. 50 Nao watawatupa waovu ndani ya tanuru la moto. Humo ndimo watalia na kusaga meno yao.
-