-
Esta 7:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Basi wakamtundika Hamani kwenye mti aliokuwa ameutengeneza ili kumtundika Mordekai juu yake, na hasira ya mfalme ikatulia.
-
-
Zaburi 7:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Huchimba shimo na kuzidisha kina chake,
Lakini huanguka katika shimo hilohilo alilolichimba.+
-