Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 16:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na uadilifu+

      Kuliko kuwa na mapato mengi pasipo haki.+

  • Methali 30:8, 9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 Yaondolee mbali nami mambo yasiyo ya kweli na ya uwongo.+

      Usinipe umaskini wala utajiri.

      Acha nile tu fungu langu la chakula,+

       9 Ili nisishibe na kukukana na kusema, “Yehova ni nani?”+

      Wala usiruhusu niwe maskini, niibe na kuliaibisha* jina la Mungu wangu.

  • 1 Timotheo 6:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki