Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 87:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  5 Na kuhusu Sayuni itasemwa:

      “Kila mtu alizaliwa humo.”

      Na Aliye Juu Zaidi atamwimarisha kabisa.

  • Isaya 2:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Katika siku za mwisho,*

      Mlima wa nyumba ya Yehova

      Utaimarishwa kabisa juu ya vilele vya milima,+

      Nao utainuliwa juu ya vilima,

      Na mataifa yote yatamiminika kwenye mlima huo.+

  • Mika 4:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Katika siku za mwisho,*

      Mlima wa nyumba ya Yehova+

      Utaimarishwa kabisa juu ya vilele vya milima,

      Nao utainuliwa juu ya vilima,

      Na mataifa yatamiminika kwenye mlima huo.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki