-
Yakobo 1:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa maana kama jua linavyochomoza pamoja na joto lake linalounguza na kufanya mmea unyauke, na ua lake lianguke na kuharibu urembo wake wa nje, vivyo hivyo pia, tajiri atanyauka katika mambo anayofuatilia.+
-