-
1 Mambo ya Nyakati 29:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 “Lakini, mimi ni nani na watu wangu ni nani hivi kwamba tukutolee matoleo haya ya hiari? Kwa maana kila kitu kinatoka kwako, nasi tumekupa vitu vinavyotoka mkononi mwako mwenyewe.
-