-
Kumbukumbu la Torati 4:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Hampaswi kuongeza jambo lolote kwenye neno ninalowaamuru, wala kuondoa jambo lolote kutoka katika neno hilo,+ ili mzishike amri za Yehova Mungu wenu ninazowaamuru ninyi.
-