Ayubu 36:27, 28 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Isaya 55:10 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya Amosi 5:8 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 8 Yule aliyeumba kundi la nyota la Kima* na kundi la nyota la Kesili,*+Yule anayebadili kivuli kizito kuwa asubuhi,Yule anayefanya mchana uwe na giza kama usiku,+Yule anayeyaita maji ya bahariIli ayamwage kwenye nchi kavu+—Yehova ndilo jina lake.
8 Yule aliyeumba kundi la nyota la Kima* na kundi la nyota la Kesili,*+Yule anayebadili kivuli kizito kuwa asubuhi,Yule anayefanya mchana uwe na giza kama usiku,+Yule anayeyaita maji ya bahariIli ayamwage kwenye nchi kavu+—Yehova ndilo jina lake.