-
Mwanzo 8:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Kuanzia sasa na kuendelea, dunia haitakosa kamwe kuwa na majira ya kupanda mbegu na kuvuna, baridi na joto, kiangazi na masika, na mchana na usiku.”+
-