-
Wimbo wa Sulemani 4:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 “Tazama! Wewe ni mrembo, mpenzi wangu.
Tazama! Wewe ni mrembo.
Macho yako ni macho ya njiwa nyuma ya shela yako.
Nywele zako ni kama kundi la mbuzi
Washukao chini kwenye milima ya Gileadi.+
-