Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 30:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Wanaume hao wakamkuta mwanamume fulani Mmisri mbugani na kumpeleka kwa Daudi. Wakampa chakula na maji ya kunywa, 12 na pia kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu. Baada ya kula, akapata nguvu,* kwa sababu hakuwa amekula chakula chochote wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki