-
Wimbo wa Sulemani 3:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Nawaapisha, enyi binti za Yerusalemu,
Kwa swala na paa jike wa porini:
Msijaribu kuamsha au kuchochea upendo ndani yangu mpaka utakapoamka wenyewe.”+
-
-
Wimbo wa Sulemani 8:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 “Nawaapisha, enyi binti za Yerusalemu:
Msijaribu kuamsha au kuchochea upendo ndani yangu mpaka utakapoamka wenyewe.”+
-